Search

106 results for Samirah Yusuph Yusuph :

  1. Kilio cha wananchi Busega kuhusu umeme chatua CCM

    Wakazi wa Kijiji cha Milambi Wilaya ya Busega mkoani Simiyu wamewasilisha kilio cha kwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo wakiiomba iishinikize Serikali kuharakisha utekelezaji wa...

  2. Takukuru yabaini ukosefu wa maji kwenye huduma za kijamii

    Taarifa iliyotolewa na Takukuru imebaini kuwa hakuna vituo vya maji katika maeneo ya huduma za kijamii kikiwemo kituo kikuu cha mabasi cha Mkoa wa Simiyu (Somanda) na soko kuu la mjini Bariadi.

  3. Walimu wasotea mshahara miaka 11 shule ya Wazazi

    Watumishi 14 wakiwamo walimu wa shule ya Jumuiya ya Wazazi ya CCM), Bulima Sekondari iliyopo Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamekuwa katika sintofahamu baada ya shule hiyo kubinafsishwa bila...

  4. Polisi, waganga wa jadi wajipanga kukabili uhalifu

    Wiki moja baada ya kuripotiwa taarifa za pacha kufariki dunia kwa madai ya kupakwa dawa ili kukuza matiti, polisi kwa kushirikiana na waganga wa jadi wamekutana kuweka mikakati ya pamoja...

  5. Mama wa mapacha waliofia kwa mganga aendelea kusota mahabusu

    Mama mzazi wa watoto mapacha waliofariki dunia kwa madai ya kupakwa dawa na mganga wa kienyeji kuoteshwa matiti ili waweze kuolewa ameendelea kusota mahabusu ya polisi kwa zaidi ya siku saba

  6. PRIME Pacha walivyofariki wakikuza matiti kwa mganga kijijini

    Oktoba 4 mwaka huu ilikuwa siku ya majonzi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya Yohana Saku, baada ya watoto wao pacha wenye umri wa miaka 17, Pendo Saku (Kulwa) na Furaha Saku (Dotto)...

  7. Rc Nawanda ataka busara itumike maamuzi ya kutaifisha mifugo

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahya Nawanda ameiomba Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoa wa Simiyu kutumia busara wakati wa maamuzi ya kutaifisha mifugo inayokamatwa ndani ya hifadhi na badala yake...

  8. PRIME Mahakama kupitia upya shauri la madai ya mahari

    Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga imeitisha jalada la shauri la madai ya mahari lililotolewa hukumu na Mahakama ya Wilaya ya Meatu Machi 14 mwaka huu, kwa ajili ya kulipitia upya.

  9. Watatu mbaroni kwa kuua swala 28

    Watuhuwa hawa walikutwa na nyara za serikali ambazo ni wanyamapori aina ya swala Thomson 28 wakiwa wamewaua.

  10. Mbaroni wakituhumiwa kuua swala 28

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuua swala 28 wanaokadiriwa kuwa na thamani ya Sh38 milioni katika pori la akiba la Maswa mkoani humo.

Page 1 of 11

Next